
CRDB Bank Plc
February 23, 2025 at 04:26 AM
Pasha pasha pasha
Raha ya CRDB Bank 5KM Fun Run 🏃♂️🏃♀️ ni kwamba kila mtu yumo na kila mtu amependeza na Uzi, yaani hadi Swahiba Jumbo naye tumemuona kapendeza ukijumlisha na huo mzuka wa singeli basi leo mambo ni bam bam. Tunaanza kutoka nduki muda si mrefu.
#crdb5kmfunrun
#crdbbank
#tunakusikiliza
❤️
👍
6