
CRDB Bank Plc
February 23, 2025 at 05:00 AM
Swahiba Jumbo katusapraizi sana😂!
Juzi alitupigia simu akatuambia piga galagaza lazima aje Moshi kwenye Kili Marathon, na kwa sababu Benki ya CRDB tumedhamini akasema atakimbia CRDB Bank 5KM Fun Run 🏃♂️🏃♀️. Sisi tukamchukulia poa kumbe alikuwa hatanii bwana. Mabibi na mabwana, makofi kwake maana kapiga hadi push-ups👏🏾
#crdb5kmfunrun
#crdbbank
#tunakusikiliza

👍
😂
❤️
🙏
11