
CRDB Bank Plc
February 23, 2025 at 06:13 AM
Naskia Swahiba Jumbo keshapita kunyoosha viungo 😂!
Ukiskia kazi na dawa ndo hii, hatutaki upate mataabiko ndio maana tumekuandalia sehemu ya kupoza mwili kidogo baada ya mbio za CRDB Bank 5KM Fun Run 🏃♂️🏃♀️.
#crdb5kmfunrun
#crdbbank
#tunakusikiliza
👍
❤️
😂
7