
CRDB Bank Plc
February 24, 2025 at 12:57 PM
Asanteni kwa kuja! 🙏
Tumewaona maswahiba kutoka kona zote za nchi🇹🇿 na mataifa mbalimbali duniani🌍 wakijumuika pamoja kwenye Kili Marathon 2025 ambapo maswahiba zaidi ya elfu tano tumewaona kwenye CRDB Bank 5KM Fun🏃🏽♂️🏃♀ Run wakiwemo watoto, wake kwa waume. Kila tunaloshiriki ni wazi kuwa Swahiba na umo.
#crdb5kmfunrun
#crdbbank
#tunakusikiliza
👍
❤️
🙏
😂
😢
11