
CRDB Bank Plc
February 28, 2025 at 07:20 AM
Kwenye ushindi na wewe umo! 💳
Umo kwenye nafasi ya kushinda safari ya Serengeti,🐆🐅🐘 Ulaya 🗼au gari mpya aina ya Ford Ranger🚘 kila unapofanya miamala na TemboCard Visa yoyote kutoka CRDB iwe ni Albarakah TemboCard, Yanga TemboCard, Simba TemboCard, TemboCard Classic, TemboCard Infinite na nyinginezo kupitia miamala ya POS na Mtandaoni.
#crdbtembocardshwaaa #crdbbank #tunakusikiliza

❤️
👍
🙏
😂
😢
21