
CRDB Bank Plc
February 28, 2025 at 04:51 PM
Ndoto za kuboli ⚽️ kiushindani zinatimia!
Sauti za ushindi zimesikika 🔊 kila kona ya Tanzania 🇹🇿 ambapo wimbi la #crdbbankfederationcup2025 limepita. Una ndoto ya kumfunga Manula au kumdhibiti Mzize asifurukute? Uwanja ni wako kuboli kiushindani!
#crdbbankfederationcup2025
#bolikiushindani
#crdbbank
#tunakusikiliza
❤️
👍
😂
🙏
12