
NMB Bank Plc
February 21, 2025 at 08:37 AM
Wenye Timu zao hawana mbambambaaa!
Ipyana Itika kapanga kikosi chake, katumia Code, na katufungulia chama cha washindi mwaka huu.
Msimu bado mrefu sana na wewe fuata maelekezo na ujiongezee nafasi za kushinda pesa taslimu kila mwezi na kubwa zaidi kwenda kucheki game ya EPL Ulaya liveeee!!!!
#usiachwe

👍
❤️
😂
😱
🙏
8