NMB Bank Plc
February 21, 2025 at 01:52 PM
Mbio zikiisha bata linahamia Redston Night Club, ni kuruka hadi kucheee na washikaji, bila kusahau rejesho la hadi 10% mkilipia bili na kadi ya NMB Mastercard au Lipa Mkononi (QR)
#nmbfriyay
#nmbkaribuyako