NMB Bank Plc

NMB Bank Plc

281.3K subscribers

Verified Channel
NMB Bank Plc
NMB Bank Plc
February 22, 2025 at 11:31 AM
Kuhakikisha wafanyakazi wanakuwa na afya bora ya mwili na akili, Benki ya NMB imekuwa mstari wa mbele kusisitiza umuhimu wa michezo na mazoezi kupitia programu mbalimbali. Wafanyakazi wanapewa fursa ya kushiriki katika michezo na mazoezi ili kuimarisha afya zao, kuongeza mshikamano, na kuongeza ufanisi wao kazini. #mwajirikinaratanzania #nmbkaribuyako
❤️ 👍 🙏 4

Comments