
NMB Bank Plc
February 22, 2025 at 02:31 PM
Top Employer at the Top of Africa!
Baada ya kutambuliwa kama Mwajiri Kinara Tanzania, tuzo hii imefika katika kilele cha Afrika. Hii ni alama ya umahiri na kujitoa kwa wafanyakazi wetu wanaoshirikiana katika kutimiza malengo makubwa ambayo tumejiwekea kama benki.
Bendera imepepea na dunia imejua kuwa @nmbtanzania ni benki kinara zaidi Tanzania.
#mwajirikinaratanzania #nmbkaribuyako

❤️
👏
😮
🙏
9