NMB Bank Plc

NMB Bank Plc

281.3K subscribers

Verified Channel
NMB Bank Plc
NMB Bank Plc
February 23, 2025 at 05:23 AM
Jambo kubwa limefanyika, na litabaki katika historia! Mapema mwaka huu, taasisi ya Top Employers Institute ilitambua @nmbtanzania kama Mwajiri Kinara Tanzania. Kusherehekea hili, wafanyakazi wetu mahiri wamechukua jukumu la kubeba tuzo hii na kuipeleka katika kilele cha Mlima Kilimanjaro, ambacho ni kilele cha Afrika. Tuzo hii ni uthibitisho wa taratibu nzuri zinazoiongoza Benki yetu katika kuendelea kuwawezesha watu wetu, kuwakuza kiuwezo na kiutendaji na kuendelea kukuza utamaduni wa ushirikiano na heshima miongoni mwetu. NMB ni Top Employer! #mwajirikinaratanzania #nmbkaribuyako
Image from NMB Bank Plc: Jambo kubwa limefanyika, na litabaki katika historia!  Mapema mwaka hu...
❤️ 👍 😢 12

Comments