Wizara ya Afya Tanzania

Wizara ya Afya Tanzania

230.4K subscribers

Verified Channel
Wizara ya Afya Tanzania
Wizara ya Afya Tanzania
February 23, 2025 at 07:28 PM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Februari 23, 2025 ameweka jiwe la msingi la ufunguzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni (Mkata) Mkoani Tanga iliyojengwa kwa zaidi ya Shilingi Bilioni saba (7). Hospitali hiyo tayari imeanza kutoa huduma kwa wagonjwa wa nje (OPD), huduma za dharura (EMD) pamoja na huduma za uzazi, mama na mtoto.
Image from Wizara ya Afya Tanzania: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo F...
❤️ 👍 😮 3

Comments