Wizara ya Afya Tanzania
February 24, 2025 at 05:00 PM
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na baadhi viongozi pamoja na watu mbalimbali wanaoshiriki ziara ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye inayoendelea Jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto mkoani Tanga Februari 25, 2025.
Katika ziara hiyo Waziri Mhagama ameongozana na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Dkt. Hamad Nyembea, Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali watu Hospitali za Rufaa za Mikoa Bw. Dani Temba pamoja na Mkurugenzi Msaidizi wa Sera na Mipango Bw. Tumainiel Macha wote kutoka Wizara ya Afya.
❤️
👍
3