Benki ya NBC
February 21, 2025 at 07:35 AM
Tumeendelea kutoa mikopo yenye riba nafuu kwako wewe mfanyakazi wa Serikalini, sekta binafsi, mfanyabiashara na mstaafu.
Rudisha mkopo wako hadi baada ya miaka 25, lengo la mikopo hii ni kuhakikisha wateja wetu wanaweza kutimiza malengo yao kwa wakati.
❤️
👍
🙏
8