
Benki ya NBC
February 21, 2025 at 02:45 PM
Macho yote Jumatatu yatakua KMC Complex kwenye Mzizima Derby.
Je Matajiri wa Jiji Azam FC kumsimamisha Mnyama Simba na kuondoka na alama 3️⃣?
Tambo zote kumalizika 🏟 Benjamin Mkapa, 🗓️ 24 Februari 2025, ⏰ saa 1:00 Usiku nunua tiketi yako mapema kupitia mawakala wa NBC.

👍
❤️
🙏
😂
❌
🇹🇿
🤣
25