JamiiCheck

JamiiCheck

83.3K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
February 17, 2025 at 04:18 PM
Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Kimataifa la Nishati (IEA) za mwaka 2022, Afrika Kusini inaongoza kwa uzalishaji wa umeme barani Afrika, ikichangia 25.9% ya uzalishaji wote, sawa na Gigawatt 234,850. Nchi zinazofuata ni Misri, Algeria, Morocco, Nigeria, Libya, Ghana, Tunisia, Msumbiji, na Zambia, huku Tanzania ikishika nafasi ya 18. Aidha, kwa mujibu wa Ceicdata, kufikia Novemba 2024, Afrika Kusini ilizalisha umeme wa Gigawatt 216,310, sawa na wastani wa Gigawatt 19,664.55 kwa mwezi. Soma https://jamii.app/UzalishajiUmemeAfrika
Image from JamiiCheck: Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Kimataifa la Nishati (IEA) za mwak...
🤔 👍 😴 4

Comments