JamiiCheck

JamiiCheck

83.3K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
February 19, 2025 at 01:42 PM
Kumekuwapo na Taarifa inayosambaa mtandaoni ikidai kuwa Februari 16, 2025, Millard Ayo alichapisha Taarifa kuwa Tundu Lissu alisema "No Reforms, No Election" haiwezi kufanikiwa. Ufuatiliaji wa kimtandao wa JamiiCheck kwa kutumia maneno muhimu (KeyWord Search) umebaini kuwa Taarifa hiyo Si ya Kweli, na haijachapishwa na Millard Ayo. Vilevile, Lissu hakutoa kauli hiyo. Aidha, chapisho linalodaiwa kuwa la Maria Sarungi na kutumiwa katika Taarifa hiyo Potoshi, Si la Kweli, kwani hakuwahi kulichapisha kwenye akaunti yake ya X. Soma https://jamii.app/LissuNoReformsNoElection
Image from JamiiCheck: Kumekuwapo na Taarifa inayosambaa mtandaoni ikidai kuwa Februari 16, 2...
❤️ 1

Comments