JamiiCheck

JamiiCheck

83.3K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
February 19, 2025 at 04:47 PM
Tafiti mbalimbali zimebainisha kuwa nyama ya samaki aina ya papa ina kiwango kikubwa cha kemikali ya Zebaki (Mercury) yenye madhara makubwa kwa afya ya Binadamu. Kemikali nyingine ni Lead, Arsenic, na Urea. Hali hii inatokana na papa kuwa samaki mkubwa miongoni mwa viumbe wa mwisho katika Ikolojia ya bahari, na huishi kwa muda mrefu, hivyo huhifadhi kemikali hiyo mwilini mwake. Kwa mujibu wa tovuti ya Koiko Conservation International, ulaji wa nyama ya papa iliyo na kemikali hiyo unaweza kusababisha athari kwenye moyo, ini, figo, mapafu, na hata kusababisha kifo. Soma https://jamii.app/NyamaYaSamakiPapa
Image from JamiiCheck: Tafiti mbalimbali zimebainisha kuwa nyama ya samaki aina ya papa ina k...
👍 😂 ❤️ 🙏 8

Comments