JamiiCheck

JamiiCheck

83.3K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
February 20, 2025 at 11:38 AM
Wakati wa matukio makubwa, Upotoshaji pia huibuka kwa kiwango kikubwa. Mathalani wakati wa uchaguzi, kipindi cha usajili wa wachezaji ama mlipuko wa magonjwa. Thibitisha Taarifa mara kwa mara ili uweze kufanya maamuzi sahihi kutokana na kile ulichokisikia ama kukiona. Tembelea jukwaa la JamiiCheck.com kujifunza mbinu za Uthibitishaji wa Taarifa na kuona Taarifa zilizofanyiwa Uhakiki.
Image from JamiiCheck: Wakati wa matukio makubwa, Upotoshaji pia huibuka kwa kiwango kikubwa....

Comments