
Dimbani Konekti
February 19, 2025 at 06:13 PM
Simba wanaondoka na alama tatu muhimu ugenini kwenye dimba la Majaliwa kule Ruangwa Lindi, wakifikisha alama 50 nyuma ya vinara Yanga wakiongoza Ligi na alama 52 pia wakiwa na mchezo mmoja mkononi.
Namungo FC 0-3 Simba SC
⚽️⚽️ Ahoua '45+5 '72
⚽️ Mukwala '90+2
Matokeo michezo mingine:
Coatal Union 0-0 Azam FC
Mashujaa FC 2-0 Pamba Jiji
Kilichotokea hapa Majaliwa tuseme ni Miujiza.😅

😂
❤️
👍
😢
🙏
🔥
👏
😮
✋
🎉
83