Dimbani Konekti
February 23, 2025 at 03:49 PM
Dakika 90 za mchezo wa Ligi Kuu NBC kati ya Mashujaa na Yanga zimetamatika, kwa wenyeji kupokea kipigo kizito huku wageni wakizidi kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi hiyo wakifikisha alama 55.
Mashujaaa FC 0️⃣-5️⃣Young Africans
⚽ Duke Abuya
⚽ Pince Dube ⚽
⚽ Khalid Aucho ⚽
⚽⚽ Clatous Chama
❤️
😂
👍
🙏
🔥
🔰
👏
💚
🫶
🏖️
38