
Dimbani Konekti
February 24, 2025 at 11:17 AM
Pita kulia nipite kushoto tukutane kwa Mkapa, ndio leo ni Mzizima Derby mchezo utakaopigwa saa 1 usiku katika dimba la Benjamin Mkapa baina ya Simba SC dhidi ya Azam FC.
Simba wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na kumbukumbu nzuri ya kupata ushindi ugenini Ruangwa dhidi ya Namungo, wakati Azam wakidondosha alama pale Sheikh Amri Abeid Arusha kwa Wagosi Wakaya Coastal Union.
Azam wakiwa na alama 43 watajitutumua kupunguza wigo wa alama dhidi ya wapinzani wao Simba wenye alama 50.
Vita ni Vita Mura.💣

❤️
👍
😂
🙏
✅
👏
😭
🦁
24