
Dimbani Konekti
February 24, 2025 at 11:18 AM
Klabu ya Real Madrid wameendelea kuonesha nia ya kunasa saini ya mlinzi Jarrad Branthwaite, anayekipiga kunako klabu ya Everton lakini wanapata kigugumizi kutoka na dau la Muingereza huyo.
Everton wanahitaji dau la pauni milioni 62 kwa ajili ya kumuuza beki huyo wa kati wa England mwenye umri wa miaka 22.

👍
❤️
😂
✅
🎉
🔥
😮
🙏
25