Dimbani Konekti

Dimbani Konekti

206.5K subscribers

Verified Channel
Dimbani Konekti
Dimbani Konekti
February 24, 2025 at 12:59 PM
Nyota wa klabu ya Vipers kutoka nchini Uganda, Abubakar Lawal raia wa Nigeria amefariki dunia kwa ajali ya pikipiki (bodaboda) tukio hilo limetokea asubuhi ya leo akielekea mazoezini. Lawal si tu alikuwa mchezaji wa kutumainiwa bali pia alimiki historia nzuri hasa mioyoni mwa mashabiki wa Vipers ambao wataendelea kumkumbuka kwani aliwafungia bao la kwanza kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika, nyota huyo alijiunga na klabu hiyo msimu wa 2022/23 akitokea AS Kigali FC.
Image from Dimbani Konekti: Nyota wa klabu ya Vipers kutoka nchini Uganda, Abubakar Lawal raia wa ...
😢 😭 🙏 ❤️ 👍 🕊️ 😂 🥹 😮 🕯️ 176

Comments