Dimbani Konekti

Dimbani Konekti

206.5K subscribers

Verified Channel
Dimbani Konekti
Dimbani Konekti
February 26, 2025 at 07:07 PM
Klabu ya Real Madrid inaripotiwa kusikilizia kwa mbali hali ya mambo yanavyoendelea kwa beki wa kati wa Liverpool, Virgil van Dijk na hatima ya mkataba wake. Beki huyo Mholanzi mwenye umri wa miaka 33, mkataba wake utafika tamati mwishoni mwa msimu huu na bado haijaeleweka kama ataendelea kukipiga kwenye kikosi hicho cha kocha Arne Slot. Van Dijk na Trent Alexander-Arnold ni miongoni mwa mastaa wawili wa Liverpool ambao mikataba yao itafika ukomo mwishoni mwa msimu huu na wanahusishwa kujiunga na Galacticos hao wa Hispania.
Image from Dimbani Konekti: Klabu ya Real Madrid inaripotiwa kusikilizia kwa mbali hali ya mambo y...
❤️ 👍 😂 😮 🙏 😢 🤔 32

Comments