Dimbani Konekti

Dimbani Konekti

206.5K subscribers

Verified Channel
Dimbani Konekti
Dimbani Konekti
March 1, 2025 at 10:23 AM
Klabu ya Simba inashuka dimbani hii leo kule Arusha katika dimba la Sheikh Amri Abeid majira ya saa 10 jioni, kukipiga na Wagosi wa Kaya Coastal Union. Mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa Dar es Salaam pale KMC Complex, Simba ilipoteza uongozi wa mabao mawili ya kipindi cha kwanza na kujikuta wakilazimishwa sare ya 2-2. Leo itakuaje, kwani kila mmoja anaitaka mechi?
Image from Dimbani Konekti: Klabu ya Simba inashuka dimbani hii leo kule Arusha katika dimba la Sh...
❤️ 👍 🙏 😂 4⃣ 🇹🇿 🍆 🔥 😉 37

Comments