TCRA TANZANIA

TCRA TANZANIA

254.2K subscribers

Verified Channel
TCRA TANZANIA
TCRA TANZANIA
February 20, 2025 at 04:29 AM
📍GEITA - 20/02/2025 #nirahisisana 📌Semina kwa Wanafunzi wa Geita Institute of Business & Technology kuhusu Vidokezo vya Usalama Mtandaoni na Umuhimu wa Vilabu vya Kidijiti🔥 💡Semina hii muhimu inalenga kutoa elimu kwa wanafunzi kuhusu matumizi sahihi, salama na yenye tija ya mitandao, pamoja na hamasa ya kuanzisha vilabu vya kidijiti vinavyochagiza ujenzi na ushiriki kikamilifu kwenye Uchumi wa Kidijiti🔥 #tcratz #elimukwaumma #digitalclubs #klabuzakidijiti #uchumiwakidijiti #digitaleconomy #startups
Image from TCRA TANZANIA: 📍GEITA - 20/02/2025 <a class="text-blue-500 hover:underline cursor-po...
👍 🙏 6

Comments