
TCRA TANZANIA
February 20, 2025 at 08:19 AM
🚨Uzinduzi wa Kampeni Dhidi ya Utapeli/Ulaghai Mtandaoni
Uzinduzi huu ni sehemu ya Kikao Kazi cha Serikali na Wadau wa Sekta ya Mawasiliano na Teknolijia ya Habari kuhusu Utekelezaji wa Mkakakati wa Taifa wa Uchumi wa Kidijitii (2024-2034)
Fuatilia mubashara kupitia channel yetu tcra_tanzania https://youtube.com/live/vqZ36urBz0k?feature=share
Mgeni Rasmi: Mhe. Jerry Silaa (Mb.) Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
📍PAPU Tower, Arusha
🗓️ 20 Februari 2025
🕦 Saa 5:30 Asubuhi
#tcratz #sitapeliki #usalamamtandaoni
👍
❤️
😂
😢
🙏
8