TCRA TANZANIA

TCRA TANZANIA

256.0K subscribers

Verified Channel
TCRA TANZANIA
TCRA TANZANIA
February 20, 2025 at 06:04 PM
📍MWANZA - 21/02/2025 #nirahisisana 📌Semina kwa Wanafunzi wa Chuo cha Afya cha Tandabui kuhusu Vidokezo vya Usalama Mtandaoni na Umuhimu wa Klabu za Kidijiti🔥 💡Semina hii muhimu inalenga kutoa elimu kwa wanafunzi kuhusu matumizi sahihi, salama na yenye tija ya mitandao, pamoja na hamasa ya kuanzisha klabu za kidijiti zinazochagiza ujenzi na ushiriki kikamilifu kwenye Uchumi wa Kidijiti🔥 #tcratz #elimukwaumma #digitalclubs #klabuzakidijiti #uchumiwakidijiti #digitaleconomy #startups
Image from TCRA TANZANIA: 📍MWANZA - 21/02/2025 <a class="text-blue-500 hover:underline cursor-p...
👍 ❤️ 🙏 9

Comments