
TCRA TANZANIA
February 24, 2025 at 03:32 AM
📍MUSOMA - 24/02/2025 #nirahisisana
📌Semina kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Songe, kuhusu Vidokezo vya Usalama Mtandaoni na Umuhimu wa Vilabu vya Kidijiti🔥
💡Semina hii muhimu inalenga kutoa elimu kwa wanafunzi kuhusu matumizi sahihi, salama na yenye tija ya mitandao, pamoja na hamasa ya kuanzisha klabu za kidijiti zinazochagiza ujenzi na ushiriki kikamilifu kwenye Uchumi wa Kidijiti🔥
#tcratz #elimukwaumma #digitalclubs #klabuzakidijiti #uchumiwakidijiti #digitaleconomy #startups

❤️
👍
🙏
😮
10