
TCRA TANZANIA
February 25, 2025 at 05:43 PM
📌Usalama Mtandaoni Unaanza na Mtu Binafsi; #nirahisisana #sitapeliki
Fuatilia kupitia chaneli yetu ya YouTube @tcra_tanzania mkutano mzima wa Waziri wa Mawwasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry Silaa pamoja na Waandishi wa Habari, kuhusu kampeni ya #sitapeliki inayolenga kuelimisha Umma kujilinda dhidi ya matukio ya ulaghai na utapeli mtandaoni. 👉https://www.youtube.com/watch?v=KqxewRJ2-TY
#sitapeliki #elimukwaumma #tcratz #nirahisisanakuwasalamamtandaoni
#smarttanzania #tzdigitaltransformation
❤️
👍
😂
8