
TCRA TANZANIA
February 26, 2025 at 07:22 PM
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Ofisi ya Zanzibar, Bi. Esuvatie-Aisa Masinga pamoja na Maafisa wengine wa TCRA wakiwasilisha mada kwa kundi la Wazee wa Mkoa wa Kisiwa cha Pemba, kuhusu usalama mtandaoni kupitia kampeni ya “NI RAHISI SANA” tarehe 26 Februari, 2025 katika ukumbi wa Chuo cha Smail, Gombani Pemba.
Semina hii iliyowafikia takriban wazee 80, ni mwendelezo wa elimu kuhusu usalama mtandaoni kwa kundi la wazee ambayo awali ilifanyika kisiwa cha Unguja, Zanzibar.
#tcratz #elimukwaummama #uchumiwakidijiti #klabuzakidijiti #nirahisisanakuwasalamamtandaoni #nirahisisana

❤️
1