TCRA TANZANIA

TCRA TANZANIA

254.2K subscribers

Verified Channel
TCRA TANZANIA
TCRA TANZANIA
February 27, 2025 at 07:45 AM
📌Klabu za Kidijiti ni majukwaa muhimu sana kwa wanafunzi wa ngazi zote za elimu; kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu. Jukwaa hili linawasaidia kujiandaa kikamilifu kushiriki na kunufaika na Uchumi wa Kidijiti unaotegemea TEHAMA kuendesha shughuli zake. 🚨Ewe mwanafunzi, hamasika. Changamkia fursa chanya zinazoletwa na TEHAMA. Jiunge na wenzako katika Klabu za Kidijiti kupitia www.digitalclubs.tz #tcratz #stem #ai #math #engineering #science #technology #elimukwaumma #mtandaonifursabakisalama #digitalclubs
😂 1

Comments