IAA Tanzania

IAA Tanzania

19.3K subscribers

Verified Channel
IAA Tanzania
IAA Tanzania
February 19, 2025 at 12:25 PM
IAA MWENYEJI MKUTANO WA UNDP Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kitakuwa mwenyeji wa mkutano wa Shirika la Maendeo la Umoja wa Mataifa (UNDP) utakaofanyika tarehe 26/02/2025 Jumatano, kuanzia saa saba mchana, ukumbi wa Maktaba- IAA Kampasi ya Arusha. Lengo la Mkutano ni kujadili namna ya kuandaa kesho ya vijana wanaohitimu Vyuo vya Elimu ya Juu na kutumia fursa mbalimbali zinapatikana chini ya Shirika hilo. Aidha, vijana kutoka vyuo mbalimbali mbalimbali watashiriki. WOTE MNAKARIBISHWA
❤️ 👍 🙏 11

Comments