IAA Tanzania WhatsApp Channel

IAA Tanzania

19.3K subscribers

Verified Channel

About IAA Tanzania

The Institute of Accountancy Arusha (IAA) is a parastatal educational institution under the Ministry of Finance. It provides 65 academic programs, ranging from diplomas and certificates to bachelor's and master's degrees. In addition, the Institute holds seminars, short-term courses (CPA CPB & ICDL), and engages in research and consulting. The institute has campuses in Dodoma, Babati, Songea, Dar es Salaam, and Arusha.

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

IAA Tanzania
IAA Tanzania
2/28/2025, 4:53:59 PM
Post image
Image
IAA Tanzania
IAA Tanzania
2/28/2025, 4:52:24 PM

IAA YATOA VITENDEA KAZI KWA WAANDISHI WA HABARI MTANDAONI Meneja kampasi ya Arusha IAA Dkt. Joseph Daudi amefunga rasmi mafunzo ya waandishi wa habari mtandaoni yaliyofanyika kwa siku mbili IAA Akifunga mafunzo hayo Dkt. Joseph amewapongeza wanahabari walioshiriki na kusisitiza ni vyema wakayatumie mafunzo hayo kama sehemu ya kuboresha kile wanachokifanya katika tasnia ya habari kwa manufaa ya Taifa kwa ujumla “Endeleeni kuwa wabunifu kwa kuyatumia mabadiliko makubwa ya teknolojia hasa matumizi ya Artificial Intelligence yaani AI kuleta mapinduzi katika tasnia yenu” amesema Dkt. Joseph Dkt. Joseph ameongeza kuwa ni vyema wanahabari wakaendelea kutoa habari zenye ukweli na kuzingatia sheria hasa katika kipindi hiki tunapoelekea katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika November mwaka huu Kwa upande wake Mshiriki wa Mafunzo hayo kutoka Mwananchi Digital Ammar Masimba ameishukuru IAA kwa mafunzo hayo ambayo yamewajenga na kuwaongezea weledi katika tasnia hiyo na kwa kuwawezesha baadhi ya nyenzo ambazo watazitumia katika kazi yao Pamoja na mafunzo hayo IAA imetoa baadhi ya vitendea kazi na vyeti vya ushiriki kwa kila mwanahabari, huku wakiwapa fursa ya kutembelea sehemu mbalimbali Chuoni ikiwemo Jengo la library, Studio za IAA MEDIA, pamoja na Kiatamizi cha IAA Business Startup Centre (IBSUC) na kujionea huduma zinazotolewa na Chuo

IAA Tanzania
IAA Tanzania
2/28/2025, 4:54:01 PM
Post image
❤️ 2
Image
IAA Tanzania
IAA Tanzania
2/28/2025, 4:53:59 PM
Post image
👍 1
Image
IAA Tanzania
IAA Tanzania
2/27/2025, 3:59:24 PM
Post image
Image
IAA Tanzania
IAA Tanzania
2/28/2025, 4:54:00 PM
Post image
❤️ 👍 2
Image
IAA Tanzania
IAA Tanzania
2/28/2025, 4:54:02 PM
Post image
👍 1
Image
IAA Tanzania
IAA Tanzania
2/28/2025, 4:54:01 PM
Post image
❤️ 1
Image
IAA Tanzania
IAA Tanzania
2/27/2025, 3:59:25 PM
Post image
Image
IAA Tanzania
IAA Tanzania
2/27/2025, 3:59:23 PM
Post image
Image
Link copied to clipboard!