Speak Brands
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                February 6, 2025 at 10:18 AM
                               
                            
                        
                            4. Ficha bei yako/Conceal the Price
Ifiche bei kwa kuivunja vunja
Hii inatumika sana na wauza viwanja au simu za mkopo mfano - 'Usiogope kununua viwanja/Simu kutoka kwetu,utalipia 50,000 tu kila mwezi kwa miaka mitatu'
This is a strategy being used in print ads, sales letters, even television commercials, for a variety of consumer-product, book, and subscription offers. These marketers present prices like this: “Just three small monthly installments of $11.95 charged to your credit card.” - Dan Kennedy