Speak Brands
February 12, 2025 at 11:21 AM
Maandishi yangu la leo yamekuwa 'influenced' na mwanauchumi Charlie Robertson
Ili nchi ifanikiwe kuushinda umaskini lazima ifanikiwa kwenye sekta izi 3 :
1. Elimu
2. Umeme
3. Riba nafuu``````
1. Elimu
Inahitajika walau 70%- 80% ya watu wazima waweze kujua kusoma na kuandika ili kukwepa umaskini(tafiti ya Mary Bowman). Tanzania kwa sasa tuko kwenye asilimia 82%
Kwa hapa serikali ya Tanzania na karibu zingine zote Africa zinastahili pongezi
2. Umeme
Baada ya watu kuwa na elimu na kuacha kazi za shambani ambazo hazina ata chembe moja ya uongezaji thamani huwa wanahamia kwenye 'vyungu vya nguo' au tuseme viwanda vya nguo kama kazi ya kwanza kwenye uchumi wa viwanda. Apa ndipo nchi kama Ethiopia ilipo sasa.
Ilimradi iweze kushindana na China,Vietnam na sasa Bangladesh inabidi zaidi ya kuwa na elimu iwe na Umeme wa uhakika na nafuu.
Ndio maana Bangladesh inauza nje nguo kwa mwezi mmoja kiasi sawa na nchi 14 za Africa
Lakini ilimradi kuwekeza kwenye umeme lazima serikali iweze kukopa kwa ..👉