
Pinkie Football Universe
February 4, 2025 at 10:17 AM
#๐ซ๐๐๐๐๐๐๐
๐๐ ๐ช๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐
๐๐ ๐ช๐๐๐๐
โKuna kasumba imezuka kwa baadhi ya watumiaji wa simu za ๐๐ฉ๐ก๐จ๐ง๐ ya kuwa wanaamini ๐๐ฉ๐ก๐จ๐ง๐ iliyotengenezwa(assembled) nchini China huwa hazina ubora ukilinganisha na zile zinazotengenezwa nchi nyingine kitu ambacho hakina ukweli๐ค
โNa hii ni kutokana na kuwa bidhaa mbalimbali kutoka China zimekuwa hazina ubora....(Tuachane na hizo siasa kwasasa, ipo siku tutalizungumzia hili kwa tumaanina)
โKwanza ni dhambi kubwa sana kuwa na dhana hii kwani simu zote za ๐๐ฉ๐ก๐จ๐ง๐ bila kujali imetengenezewa wapi ubora huwa ni uleule ila kitakachomata ni utunzaji wako๐ท
โToleo lolote la ๐๐ฉ๐ก๐จ๐ง๐ ambalo unaliona sokoni basi ilipitia mambo matatu muhimu :
๐Designig
๐Manufacturing
๐Assembling
โแด
แดsษชษขษดษชษดษข : Hapa wataalamu hukaa na kubuni toleo lijalo la Iphone linatakiwa liwe na nini na nini?, kipi kiongezwe au kipunguzwe, vioo tuchuke kwenye kampuni gani, tutumie camera na lenzi kutoka kampuni gani, chip ipi itumike n.k na jambo hili hufanyika katika makao makuu ya ๐๐ฉ๐ฉ๐ฅ๐ Los Angeles California chini Marekani๐บ๐ธ
โแดแดษดแดาแดแดแดแดสษชษดษข : Uzalishaji wa vifaa hufanywa kwa vile vifaa ambavyo kampuni ya APPLE inaweza kuviandaa na kununua vifaa ambavyo wao binafsi hawana uwezo kuvizalisha n.k mathalan asilimia kubwa ya vioo vya Iphone vinatengenezwa na kampuni ya sแดแดsแดษดษข kutokea Suwan chini Korea, Kamera na sensa zake hutengenezwa na kampuni ya Sony๐ค
โแดssแดแดสสษชษดษข : Vifaa huunganishwa, na system software inakuwa uploaded kwenye simu, kisha simu kadhaa uharibiwa kwa kufanyiwa testing๐ซก, lakini assembling hufanyika kwenye viwanda mbalimbali vya Iphone ikiwemo kile cha Guangzhou China ambacho ndio kiwanda mama cha iphone, pia california & India, Ila cha kuzingati ni kuwa huwa kuna umakini mkubwa sana unafanyika kabla ya simu kuingia sokoni๐
โKwani, kumbuka vifaa vimetoka kwenye kampuni tofauti tofauti hivyo basi lazima vyote viweze kuingiliana na kufanya kazi kama kitu kimoja na ndio maan huwezi abadani asilani utumie chip ya Iphone x kwenye Iphone 11 au kinyume chake๐ค
๐Lakini kwenye Android ndio kuna maajabu ya kwani unaweza kuta simu ya Tecno betri la nokia, spika ya vivo chip ya oppo๐คฃ
โ๐๐๐ ๐ค๐๐๐ ๐๐ค kwenye football, klabu zenye akili timamu hupitia zile zile hatua tatu makini :
๐แด
แดsษชษขษดษชษดษข : Kwa maana tunataka timu yetu iweje na ichezeje mathalan tunata timu ikabie kutokea chini (Low block) hivyo basi tupate rasilimali zote ili kukidhi mahitaji๐ค
๐โแดแดษดแดาแดแดแดแดสษชษดษข : klabu kupitia academy huzalisha wachezaji kuendana na mfumo wao, na kufanya sajili za wachezaji kulingana na aina ya mpira wanaocheza pia hata kocha lazima aendane na mfumo wa klabu husika๐ค
๐แดssแดแดสสษชษดษข : Baada ya rasilimali zote kupatikana sasa huu ndio wakati wa kuwafanya wachezaji kuwa timu na kupata kile mnacho kihitaji kutoka kwao, lakin cha kuzingatia ni kuwa hatua hii inategemea zaid hatua mbili za awali na vilabu vingi hufeli hapa kwani walichokifanya kwenye hatua zilizopita hakiendani na kile wanachokifanya kwenye hatua hii๐จ
โKile ulichokiwekeza ndicho utakacho kivuna kwacho ndio maana kuna vilabu hupigania ubingwa na vingine hujipambania kubaki ligi kuu
Thanks for your attention
Appreciated โ๏ธ
Until next time
Article A070
๐ค
1