Pinkie Football Universe WhatsApp Channel

Pinkie Football Universe

11 subscribers

About Pinkie Football Universe

Football contents (in Swahili) Fun, Knowledge and Exellence๐Ÿง Extra-Football facts combined Our Universe

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

Pinkie Football Universe
Pinkie Football Universe
2/17/2025, 5:47:47 AM

๐Ÿ“Mechi 4, katupia mara 3 na pasi moja ya bao, nyota wa mchezo mara 3ndani ya michezo 4 aliyoanza ilhali Manchester united imefunga mabao 2 katika michezo 3 ya mwisho,Sauti inatosha au tuongeze kidogo ๐Ÿคฃ ๐Ÿ“Mzawa kutoka bara America nchini Brazil,lake jina ๐™ฐ๐š—๐š๐š˜๐š—๐šข ๐™ณ๐šŠ ๐šœ๐š’๐šŸ๐šŠ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ #๐๐ข๐ง๐ค๐ข๐ž4๐‹๐ข๐Ÿ๐ž

Pinkie Football Universe
Pinkie Football Universe
2/17/2025, 5:47:28 AM
Post image
Image
Pinkie Football Universe
Pinkie Football Universe
2/19/2025, 6:45:56 PM
Post image
Image
Pinkie Football Universe
Pinkie Football Universe
2/17/2025, 10:10:12 AM
Post image
Image
Pinkie Football Universe
Pinkie Football Universe
2/14/2025, 7:38:51 AM
Post image
Image
Pinkie Football Universe
Pinkie Football Universe
2/17/2025, 10:10:15 AM

#๐‘จ๐’๐’…๐’“๐’†ฬ๐’” ๐’…๐’† ๐‘ญ๐’๐’๐’๐’๐’๐’๐’”๐’‚ : ๐‘น๐’–๐’ƒ๐’†๐’ ๐‘จ๐’Ž๐’๐’“๐’Š๐’Ž โœ๏ธUkitaja series bora kwa miaka ya hivi karibuni basi huwezi kuiacha ๐‘€๐‘œ๐‘›๐‘’๐‘ฆ ๐ป๐‘’๐‘–๐‘ ๐‘ก( ๐ฟ๐‘Ž ๐‘๐‘Ž๐‘ ๐‘Ž ๐‘‘๐‘’ ๐‘๐‘Ž๐‘๐‘’๐‘™), Ni series yenye seasons 5, ila mimi binafsi ukisikia naizungumzia series hii popote pale basi ujue ni zile seasons 2 za mwanzoni, hizi sessions za mwisho umarekani ulikuwa mwingi๐Ÿณโ€๐ŸŒˆ โœ๏ธMiongoni mwa character zilizopendwa na watazamaji wengi ni pamoja na uhusika wa ๐‘ƒ๐‘Ÿ๐‘œ๐‘“๐‘’๐‘ ๐‘ ๐‘œ๐‘Ÿ, ๐‘๐‘Ž๐‘–๐‘Ÿ๐‘œ๐‘๐‘–, ๐‘‡๐‘œ๐‘˜๐‘ฆ๐‘œ ๐‘›.๐‘˜ โœ๏ธLakini mimi binafsi uhusika wa ๐๐ž๐ซ๐ฅ๐ข๐ง uliochezwa na ๐€๐ง๐๐ซ๐žฬ๐ฌ ๐๐ž ๐…๐จ๐ง๐จ๐ฅ๐ฅ๐จ๐ฌ๐š na uhusika wa ๐‘๐š๐ช๐ฎ๐ž๐ฅ ๐Œ๐ฎ๐ซ๐ข๐ฅ๐ฅ๐จ ndio nina uhusudu zaidi๐Ÿ”ฅ โœ๏ธ๐๐ž๐ซ๐ฅ๐ข๐ง ni mtu mwenye kufuata taratibu alizojiwekea au zilizowekwa ili kukamilisha jambo fulani, na hufanya maamuzi kulingana na kile kilichopangwa kwacho bila kuhusisha hisia kwa namna moja au nyingine, pili uwoga kwake sio sifa yake, tatu hufanya jambo lake hata kama nyote mtakuwa kinyume na yeye๐Ÿ˜ท โœ๏ธKwa ufupi ๐๐ž๐ซ๐ฅ๐ข๐ง sio bendera fuata upepo. Wale.waliotizama ๐‘€๐‘œ๐‘›๐‘’๐‘ฆ ๐ป๐‘’๐‘–๐‘ ๐‘ก ni mashahidi wa hili, kwani almanusura wizi ungefeli kwasababu baadhi ya washirika wa uhalifu huo waliingiza hisia ndani yake๐Ÿค” โœ๏ธ๐•‹๐•™๐•– ๐•ค๐•’๐•ž๐•– ๐•’๐•ค kwa ๐‘๐ฎ๐›๐ž๐ง ๐€๐ฆ๐จ๐ซ๐ข๐ฆ ni kocha anayeamini kwenye falsafa zake na amegoma kabisa kubadilika, wapo wanaomtaka abadilike kimfumo maana aina ya mpira anaoufundisha hauendani na wachezaji waliopo Manchester united๐Ÿ˜จ ๐Ÿ“Mfumu wa ๐‘๐ฎ๐›๐ž๐ง ๐€๐ฆ๐จ๐ซ๐ข๐ฆ unahitaji mabeki 3 wa kati ambao wako solid kweli kweli, wawe na uwezo wa kuzuia kwa kipindi chote cha dakika 90, pia wawe na uwezo madhubuti wa kuanzisha mashambulizi kwa pasi za masafa marefu na mafupi๐Ÿง ๐Ÿ“Msingi wa pili ni pawepo na wing-backs za kwenda ambazo zina uwezo wa kuhudhuria sherehe na harusi kwa wakati mmoja๐Ÿคฉ ๐Ÿ“Pia pawepo na kiungo mkata umeme ambae hacheki na wowote(gusa achia twende kwao), vile vile pawepo na viungo 2 au zaidi katika safu ya ushambuliaji ambao pia watakuwa wazuri kushambulia nafasi zitakazoachwa na mpinzani hasa kwenye counter attacks๐Ÿค“ ๐Ÿ“Mbele kabisa lazima wawepo washambuliaji ambao ni very elite, lethal and clinical kwenye lango la mpinzani kwa nafasi chache zitakazo patikana, kwani kumbuka mfumo huu wa kiuchezaji hauwaruhusu kupata nafasi nyingi ๐Ÿ˜ท ๐Ÿ“๐’๐ก๐ข๐๐š ๐ง๐ข ๐ค๐ฐ๐š๐ฆ๐›๐š ๐ง๐๐š๐ง๐ข ๐ฒ๐š ๐ค๐ข๐ค๐จ๐ฌ๐ข ๐‚๐ก๐š ๐Œ๐š๐ง๐œ๐ก๐ž๐ฌ๐ญ๐ž๐ซ ๐ฎ๐ง๐ข๐ญ๐ž๐ ๐ซ๐š๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข๐ฆ๐š๐ฅ๐ข ๐ณ๐จ๐ญ๐ž ๐ญ๐š๐ฃ๐ฐ๐š ๐ก๐š๐ณ๐ข๐ฉ๐š๐ญ๐ข๐ค๐š๐ง๐ข๐Ÿ˜ฐ โœ๏ธPoleni mashabiki wa united kwa kile kinachojiri kwa hivi sasa kwani nawapa taarifa ya kuwa ๐‘๐ฎ๐›๐ž๐ง ๐€๐ฆ๐จ๐ซ๐ข๐ฆ atabaki na msimamo wake na wala hatobadili chochote kwahiyo hii chocolate ya vipigo bado ipo ipo sana tu๐Ÿ˜“ โœ๏ธMakocha wote wakubwa huwa na uhusika wa ๐๐ž๐ซ๐ฅ๐ข๐ง, mathalan Pep Guardiol, Antonio Conte, Jurgen Klopp, Luis Enrique & Carlo Ancelotti. Mbali na mataji kocha nguli lazima uwe na identity yako๐Ÿค โœ๏ธJapo wemgi hawajui lakini almanusura Sir Alex Chapman Ferguson afukuzwe kazi United baada ya kukaa misimu kadhaa bila taji baada ya kuajiriwa lakini aligoma kubadili muundo wake and the rest ni historia hadi leo โœ๏ธAma kwa hakika kama nilivyokwisha tanabaisha hapo awali ya kuwa ninahusudu mno uhusika wa ๐๐ž๐ซ๐ฅ๐ข๐ง uliochezwa na ๐€๐ง๐๐ซ๐žฬ๐ฌ ๐๐ž ๐…๐จ๐ง๐จ๐ฅ๐ฅ๐จ๐ฌ๐š katika series ya ๐™ผ๐š˜๐š—๐šŽ๐šข ๐™ท๐šŽ๐š’๐šœ๐š, hivyo basi nakubaliana na msimamo wa ๐‘๐ฎ๐›๐ž๐ง ๐€๐ฆ๐จ๐ซ๐ข๐ฆ๐Ÿค ๐“๐ก๐š๐ง๐ค๐ฌ ๐Ÿ๐จ๐ซ ๐ฒ๐จ๐ฎ๐ซ ๐š๐ญ๐ญ๐ž๐ง๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐€๐ฉ๐ฉ๐ซ๐ž๐œ๐ข๐š๐ญ๐ž๐โœŒ๐Ÿฝ ๐”๐ง๐ญ๐ข๐ฅ ๐ง๐ž๐ฑ๐ญ ๐ญ๐ข๐ฆ๐ž ๐€๐ซ๐ญ๐ข๐œ๐ฅ๐ž ๐€0073

๐Ÿ˜‚ 1
Pinkie Football Universe
Pinkie Football Universe
2/19/2025, 7:41:36 PM
Post image
Image
Pinkie Football Universe
Pinkie Football Universe
2/19/2025, 6:45:57 PM

# ๐‘พ๐’†๐’…๐’๐’†๐’”๐’…๐’‚๐’š ๐‘ญ๐’๐’๐’•๐’ƒ๐’‚๐’๐’ : ๐‘จ๐’”๐’•๐’๐’ ๐‘ฝ๐’Š๐’๐’๐’‚ ๐’—๐’” ๐‘ณ๐’Š๐’—๐’†๐’“๐’‘๐’๐’๐’ โœ๏ธ๐‹๐ข๐ฏ๐ž๐ซ๐ฉ๐จ๐จ๐ฅ kwenye mbio za ubingwa usiku wa leo anakutana na kizabizabina ๐€๐ฌ๐ญ๐จ๐ง ๐•๐ข๐ฅ๐ฅ๐š, Tena katika uwanja wa ๐•๐ข๐ฅ๐ฅ๐š ๐๐š๐ซ๐ค๐Ÿ”ฅ โœ๏ธJe makali ya vijana wa ๐™ฐ๐š›๐š—๐šŽ ๐š‚๐š•๐š˜๐š๐š yataendelea kutoa maumivu au vijana wa ๐š„๐š—๐šŠ๐š’ ๐™ด๐š–๐šŽ๐š›๐šข watamsimamisha jogoo kutoka Merseyside ๐Ÿค” #๐๐ข๐ง๐ค๐ข๐ž4๐‹๐ข๐Ÿ๐ž

Pinkie Football Universe
Pinkie Football Universe
2/14/2025, 7:39:45 AM

๐Ÿ“Pengine wewe si mpenzi wa series, lakin unapenda filamu zenye plot twist basi usiwaze, zipo filamu ambazo pia zina maudhui ya plot twist ikiwemo Contratiempo, The body, Fracture n.k ๐Ÿ“๐™ฐ๐š—๐š๐š˜๐š—๐šข ๐™ณ๐šŠ ๐š‚๐š’๐š•๐šŸ๐šŠ, mechi tatu kazama nyavuni mara mbili na assit moja, nyota wa mchezo mara mbili๐Ÿค” ๐Ÿ“Ogopa sana pale unampiga mkeo alafu usikie nje kuna vijana wanaimba "๐Š๐š๐ฆ๐š ๐ฎ๐ฆ๐ž๐ฆ๐œ๐ก๐จ๐ค๐š ๐ญ๐ฎ๐š๐œ๐ก๐ข๐ž ๐ฌ๐ข๐ฌ๐ข, ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ฅ๐ž ๐ฆ๐ฉ๐š๐ค๐š ๐ฆ๐ข๐Ÿ๐ฎ๐ฉ๐š ๐ฌ๐ข๐ฌ๐ข ๐ง๐๐ข๐จ ๐ฆ๐š๐Ÿ๐ข๐ฌ๐ข๐Ÿคฃ" #๐๐ข๐ง๐ค๐ข๐ž4๐‹๐ข๐Ÿ๐ž

๐Ÿ˜‚ 1
Pinkie Football Universe
Pinkie Football Universe
2/13/2025, 7:39:05 PM

#๐’˜๐’‰๐’‚๐’• ๐’‚ ๐‘ช๐’๐’๐’•๐’“๐’๐’—๐’†๐’“๐’”๐’š : ๐‘จ๐’๐’•๐’๐’๐’š ๐‘ซ๐’‚ ๐’”๐’Š๐’๐’—๐’‚ โœ๏ธSafari moja nilipokwenda kumsabahi wangu swahiba bwana ๐‘๐ข๐œ๐ก๐š๐ซ๐ ๐Œ๐จ๐ ๐ก๐ข๐ฐ๐š๐Ÿ˜€ alinikirimu na kunifanyia khidima nyingi ikiwemo kunipatia series moja kutokea nchini korea ya kusini iitwayo ๐Œ๐จ๐ฎ๐ฌ๐ž๐Ÿ”ฅ โœ๏ธHii series ina twist za kufa mtu kiasi kwamba unafika mahali huelewi starling ni yupi na villain ni yupi? โœ๏ธ๐•‹๐•™๐•– ๐•ค๐•’๐•ž๐•– ๐•’๐•ค kwa ๐™ฐ๐š—๐š๐š˜๐š—๐šข ๐™ณ๐šŠ ๐šœ๐š’๐š•๐šŸ๐šŠ, kwani kipindi yupo klabu ya Ajax alikuwa moto kweli kweli na hiyo ilitokana na malumba yake mguuni jumlisha na umaliziaji wake wa ku-curve(๐ซ๐ž๐œ๐ž๐ง๐ญ๐ฅ๐ฒ ๐ค๐ง๐จ๐ฐ๐ง ๐š๐ฌ ๐‚๐ก๐ซ๐ข๐ฌ๐ญ๐ฆ๐š๐ฌ ๐Ÿ๐ข๐ง๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐ ๐ŸŽ…) โœ๏ธLakini baada ya kutua old Trafford grafu yake ilianza kuporomoka kwa kasi, kiasi kwamba wengi walimponda na kudiriki kusema ya kuwa Manchester united iliuziwa mbuzi kwenye gunia๐Ÿคฃ โœ๏ธKufuatia mfululizo mbaya wa performances za ๐™ฐ๐š—๐š๐š˜๐š—๐šข ๐™ณ๐šŠ ๐šœ๐š’๐š•๐šŸ๐šŠ, United kwenye dirisha la Januari hii iliamua kumtoa kwa mkopo kwenda kwenye klabu ya Real betis inayokipiga katika ligi kuu nchini Hispania๐Ÿค” โœ๏ธSasa jambo la kushtusha zaidi ni kuwa ndani ya michezo miwili ambayo ๐™ฐ๐š—๐š๐š˜๐š—๐šข ๐™ณ๐šŠ ๐šœ๐š’๐š•๐šŸ๐šŠ ameanza, amefunga bao moja na kuwa nyota wa mchezo kwenye michezo yote miwili๐Ÿง โœ๏ธSasa hivi mashabiki wapo kweye mazonge wakishindwa la kusema kwani hawaelewi which is which๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ yaani mgeni kakataa soda anataka shilingi 600 yake๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ #๐๐ข๐ง๐ค๐ข๐ž4๐‹๐ข๐Ÿ๐ž

๐Ÿ˜‚ 1
Link copied to clipboard!