
Pinkie Football Universe
February 17, 2025 at 05:47 AM
📝Mechi 4, katupia mara 3 na pasi moja ya bao, nyota wa mchezo mara 3ndani ya michezo 4 aliyoanza ilhali Manchester united imefunga mabao 2 katika michezo 3 ya mwisho,Sauti inatosha au tuongeze kidogo 🤣
📝Mzawa kutoka bara America nchini Brazil,lake jina 𝙰𝚗𝚝𝚘𝚗𝚢 𝙳𝚊 𝚜𝚒𝚟𝚊🥳🥳
#𝐏𝐢𝐧𝐤𝐢𝐞4𝐋𝐢𝐟𝐞