
Pinkie Football Universe
February 17, 2025 at 10:10 AM
#๐จ๐๐
๐๐ฬ๐ ๐
๐ ๐ญ๐๐๐๐๐๐๐๐ : ๐น๐๐๐๐ ๐จ๐๐๐๐๐
โ๏ธUkitaja series bora kwa miaka ya hivi karibuni basi huwezi kuiacha ๐๐๐๐๐ฆ ๐ป๐๐๐ ๐ก( ๐ฟ๐ ๐๐๐ ๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐), Ni series yenye seasons 5, ila mimi binafsi ukisikia naizungumzia series hii popote pale basi ujue ni zile seasons 2 za mwanzoni, hizi sessions za mwisho umarekani ulikuwa mwingi๐ณโ๐
โ๏ธMiongoni mwa character zilizopendwa na watazamaji wengi ni pamoja na uhusika wa ๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐ฆ๐ ๐.๐
โ๏ธLakini mimi binafsi uhusika wa ๐๐๐ซ๐ฅ๐ข๐ง uliochezwa na ๐๐ง๐๐ซ๐ฬ๐ฌ ๐๐ ๐
๐จ๐ง๐จ๐ฅ๐ฅ๐จ๐ฌ๐ na uhusika wa ๐๐๐ช๐ฎ๐๐ฅ ๐๐ฎ๐ซ๐ข๐ฅ๐ฅ๐จ ndio nina uhusudu zaidi๐ฅ
โ๏ธ๐๐๐ซ๐ฅ๐ข๐ง ni mtu mwenye kufuata taratibu alizojiwekea au zilizowekwa ili kukamilisha jambo fulani, na hufanya maamuzi kulingana na kile kilichopangwa kwacho bila kuhusisha hisia kwa namna moja au nyingine, pili uwoga kwake sio sifa yake, tatu hufanya jambo lake hata kama nyote mtakuwa kinyume na yeye๐ท
โ๏ธKwa ufupi ๐๐๐ซ๐ฅ๐ข๐ง sio bendera fuata upepo. Wale.waliotizama ๐๐๐๐๐ฆ ๐ป๐๐๐ ๐ก ni mashahidi wa hili, kwani almanusura wizi ungefeli kwasababu baadhi ya washirika wa uhalifu huo waliingiza hisia ndani yake๐ค
โ๏ธ๐๐๐ ๐ค๐๐๐ ๐๐ค kwa ๐๐ฎ๐๐๐ง ๐๐ฆ๐จ๐ซ๐ข๐ฆ ni kocha anayeamini kwenye falsafa zake na amegoma kabisa kubadilika, wapo wanaomtaka abadilike kimfumo maana aina ya mpira anaoufundisha hauendani na wachezaji waliopo Manchester united๐จ
๐Mfumu wa ๐๐ฎ๐๐๐ง ๐๐ฆ๐จ๐ซ๐ข๐ฆ unahitaji mabeki 3 wa kati ambao wako solid kweli kweli, wawe na uwezo wa kuzuia kwa kipindi chote cha dakika 90, pia wawe na uwezo madhubuti wa kuanzisha mashambulizi kwa pasi za masafa marefu na mafupi๐ง
๐Msingi wa pili ni pawepo na wing-backs za kwenda ambazo zina uwezo wa kuhudhuria sherehe na harusi kwa wakati mmoja๐คฉ
๐Pia pawepo na kiungo mkata umeme ambae hacheki na wowote(gusa achia twende kwao), vile vile pawepo na viungo 2 au zaidi katika safu ya ushambuliaji ambao pia watakuwa wazuri kushambulia nafasi zitakazoachwa na mpinzani hasa kwenye counter attacks๐ค
๐Mbele kabisa lazima wawepo washambuliaji ambao ni very elite, lethal and clinical kwenye lango la mpinzani kwa nafasi chache zitakazo patikana, kwani kumbuka mfumo huu wa kiuchezaji hauwaruhusu kupata nafasi nyingi ๐ท
๐๐๐ก๐ข๐๐ ๐ง๐ข ๐ค๐ฐ๐๐ฆ๐๐ ๐ง๐๐๐ง๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐ข๐ค๐จ๐ฌ๐ข ๐๐ก๐ ๐๐๐ง๐๐ก๐๐ฌ๐ญ๐๐ซ ๐ฎ๐ง๐ข๐ญ๐๐ ๐ซ๐๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข๐ฆ๐๐ฅ๐ข ๐ณ๐จ๐ญ๐ ๐ญ๐๐ฃ๐ฐ๐ ๐ก๐๐ณ๐ข๐ฉ๐๐ญ๐ข๐ค๐๐ง๐ข๐ฐ
โ๏ธPoleni mashabiki wa united kwa kile kinachojiri kwa hivi sasa kwani nawapa taarifa ya kuwa ๐๐ฎ๐๐๐ง ๐๐ฆ๐จ๐ซ๐ข๐ฆ atabaki na msimamo wake na wala hatobadili chochote kwahiyo hii chocolate ya vipigo bado ipo ipo sana tu๐
โ๏ธMakocha wote wakubwa huwa na uhusika wa ๐๐๐ซ๐ฅ๐ข๐ง, mathalan Pep Guardiol, Antonio Conte, Jurgen Klopp, Luis Enrique & Carlo Ancelotti. Mbali na mataji kocha nguli lazima uwe na identity yako๐ค
โ๏ธJapo wemgi hawajui lakini almanusura Sir Alex Chapman Ferguson afukuzwe kazi United baada ya kukaa misimu kadhaa bila taji baada ya kuajiriwa lakini aligoma kubadili muundo wake and the rest ni historia hadi leo
โ๏ธAma kwa hakika kama nilivyokwisha tanabaisha hapo awali ya kuwa ninahusudu mno uhusika wa ๐๐๐ซ๐ฅ๐ข๐ง uliochezwa na ๐๐ง๐๐ซ๐ฬ๐ฌ ๐๐ ๐
๐จ๐ง๐จ๐ฅ๐ฅ๐จ๐ฌ๐ katika series ya ๐ผ๐๐๐๐ข ๐ท๐๐๐๐, hivyo basi nakubaliana na msimamo wa ๐๐ฎ๐๐๐ง ๐๐ฆ๐จ๐ซ๐ข๐ฆ๐ค
๐๐ก๐๐ง๐ค๐ฌ ๐๐จ๐ซ ๐ฒ๐จ๐ฎ๐ซ ๐๐ญ๐ญ๐๐ง๐ญ๐ข๐จ๐ง
๐๐ฉ๐ฉ๐ซ๐๐๐ข๐๐ญ๐๐โ๐ฝ
๐๐ง๐ญ๐ข๐ฅ ๐ง๐๐ฑ๐ญ ๐ญ๐ข๐ฆ๐
๐๐ซ๐ญ๐ข๐๐ฅ๐ ๐0073
๐
1