
Pinkie Football Universe
February 20, 2025 at 06:42 PM
📝Hii sio ngeni kwa madereva wa mabasi ya mikoani na magari ya kusafirisha mizigo, huwa mara kwa mara hupimwa kama wametumia kilevi wakati wa kuanza safari na kama wana machovu ya mwili au usingizi 🤔
📝𝚄𝚗𝚊𝚓𝚞𝚊 𝚗𝚒 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚒𝚗𝚒? Ni kwasababu hakuna uthibitisho wowote wa kisayansi unaokubali kuwa safari itakuwa salama kama suka(dereva) atasinzia kwenye usukani😓
📝Me binasfi naona huyu dereva anasinzia kwenye usukani, na mara nyingi ukidiriki kusinzia kwenye usukani basi tahamaki gari ipo kwenye korongo🤣
#𝐏𝐢𝐧𝐤𝐢𝐞4𝐋𝐢𝐟𝐞