Pinkie Football Universe
Pinkie Football Universe
February 22, 2025 at 12:02 PM
#๐‘ฎ๐’“๐’‚๐’ ๐‘ป๐’–๐’“๐’Š๐’”๐’Ž๐’ : ๐‘ฌ๐’๐’ˆ๐’๐’Š๐’”๐’‰ ๐‘ท๐’“๐’†๐’Ž๐’Š๐’†๐’“ ๐‘ณ๐’†๐’‚๐’ˆ๐’–๐’† โœ๏ธGran Turismo ni filamu inayozungumzia mashindano ya mbio za magari, iliyoachiwa mnamo mwaka 2023 filamu iliyoongozwa na director Neill Blomkamp๐Ÿ˜ท โœ๏ธBinafsi Scene ninayoipenda na kuihusudu zaidi kwenye hii filamu ni kile kipande ambacho ๐‰๐š๐ง๐ง ๐Œ๐š๐ซ๐๐ž๐ง๐›๐จ๐ซ๐จ๐ฎ๐ ๐ก wakati yupo kwenye nafasi za mbele za mbio anapata ajali mbaya sana, hicho kipande ni cha filamu ila namna kilivyorekodiwa na kueditiwa kinavuta hisia na unaweza kuhisi kile unachokiona ni tukio la kweli๐Ÿ”ฅ โœ๏ธWataalamu wa mbio wanasema kuwa mara nyingi kama sio mara zote, ajali nyingi mbaya kwenye mbio za magari uhusisha washiriki wanaochuana kumaliza kwenye nafasi za juu, unajua ni kwanini๐Ÿ˜“ โœ๏ธNi kwasababu kilichopo akilini mwao ni ushindi tu hivyo kufanya vitu vya hatari ili kulitimiliza lile wanalolikusudia, sasa ikitokea kuna mistake kidogo tu, hatari huwa ni kubwa mno๐Ÿง โœ๏ธ๐•‹๐•™๐•– ๐•ค๐•’๐•ž๐•– ๐•’๐•ค Kwenye ๐™ด๐š—๐š๐š•๐š’๐šœ๐š‘ ๐™ฟ๐š›๐šŽ๐š–๐š’๐šŽ๐š›๐šŽ ๐™ป๐šŽ๐šŠ๐š๐šž๐šŽ kwenye kipindi hiki cha kumalizia race, umakini unatakiwa kuwa mkubwa mno hasa kama kweli unautaka ubingwa๐Ÿ˜ฐ โœ๏ธKwani yakupasa utoke unyoya kweli kweli, yaani mguu ukite mafuta haswa, chomeka gia za kwenda na mguu usiwe mbali na breki๐Ÿค” โœ๏ธNa hapa ligi ilipofika ikitokea umeangusha alama basi ni sawa na kupata ajali kwenye mbio za magari kwani madhara yake ni makubwa mno, na pengine ikawa ndio umeumaliza mwendo๐Ÿค โœ๏ธ๐™ป๐š’๐šŸ๐šŽ๐š›๐š™๐š˜๐š˜๐š• na ๐™ฐ๐š›๐šœ๐šŽ๐š—๐šŠ๐š• ndio zinazopambania ubingwa msimu huu, hivyo basi๐Ÿค”.....au basi nadhani maelezo ya awali hapo juu yanajitosheleza, ngoja tukainjoi mbio za magari kweye viwanja vya Emirates na Etihad weekend hiii๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ ๐“๐ก๐š๐ง๐ค๐ฌ ๐Ÿ๐จ๐ซ ๐ฒ๐จ๐ฎ๐ซ ๐š๐ญ๐ญ๐ž๐ง๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐€๐ฉ๐ฉ๐ซ๐ž๐œ๐ข๐š๐ญ๐ž๐ ๐”๐ง๐ญ๐ข๐ฅ ๐ง๐ž๐ฑ๐ญ ๐ญ๐ข๐ฆ๐ž ๐€๐ซ๐ญ๐ข๐œ๐ฅ๐ž ๐€0074

Comments