
Pinkie Football Universe
February 26, 2025 at 06:48 PM
π΄ππππ πΊπππ : π¬ππππππ π·ππππππ π³πππππ
βοΈItakuwa ni makosa kwa mpenzi wa soka usiku wa leo ukaupitisha bila kutizama mitanange hii, Usiku wa leo una kila kitu, yaani kama ni chakula basi kingeitwa msosi mboga sabaπ§
βοΈKwani kuna michezo inayohusisha mbio za ubingwa, pia kuna michezo unayohusisha kugombea nafasi nne za juu, pia michezo inayohusisha hatma ya kubaki ligi kuuπ₯
βοΈπ°ππππππ£π : kwa wale wenye wenza, tafadhal usitoke bila kuaga, maana unaweza kula chakula cha mboga saba kwenye mpira ila utakaporejea kunyumba chakula chote kikakutokea puaniπ€£
26/02/2025
ππ’π§π€π’π4ππ’ππ