
KENYA ON WATCH 🇰🇪
February 26, 2025 at 06:18 PM
Dr.Peter Mbae: Sio mara ya kwanza ule uchaguzi wa AUC kufanyika na kuna mambo yalikuwa wazi, yale mashirika ya nchi za kiislamu walikuwa wamekutana na mwezi mmoja mbeleni na wakasema ya kwamba watasupport yule candidate wa Djibouti.
~ Peter Mbae
