Ashraf JK 💚💙
Ashraf JK 💚💙
February 9, 2025 at 07:43 AM
Vitamini C pia ina overdose. Usipakie tuu nyingi kinywani mwako kwa sababu ni tamu. Itumie kulingana na kipimo kilichopendekezwa na Daktari au Mfamasia Wako.
🙏 1

Comments