
Ashraf JK ππ
1.7K subscribers
About Ashraf JK ππ
Pharmadawa, Brother & Citizen
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Karibu kwenye AFYA Tamuβ’! Pata maarifa kuhusu afya kila siku: Nimonia, Kichomi, Dawa za Maumivu, Dawa za Presha, na Dawa za Tumbo. Usikose kusikiliza Dodoma Live! #AfyaTamu #AshrafJK #KMT https://radio.tadio.co.tz/dodoma-fm


Fanya Haya Yote, Usiwe Jobless tena kwenye Sekta ya Dawa/Afya Tanzania. Anza Leo Hujachelewa! #AshrafJK


https://medium.com/@ashrafjk/unasikia-wamehitimu-lakini-hawana-pakwenda-tumejua-chanzo-na-suluhu-ef81b332b9b3 *Kama kweli tunatafuta mwarubaini wa tatizo la ajira Kwa Wahitimu wa Kozi za Afya Nchini, tuzingatie yafutayo! #AshrafJK*

Usikose kufuatilia uwasilishwaji wa bajeti ya Wizara ya Afya 2025/26, kesho Juni 2 -3, 2025 itakayowasilishwa na Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama, bungeni Jijini Dodoma


Karibu kwenye AFYA Tamuβ’! Pata maarifa kuhusu afya kila siku: Vidonda vya Tumbo, Magonjwa ya Ngozi, Magonjwa ya Masikio, Magonjwa ya Macho, na Magonjwa ya Kinywa. Usikose kusikiliza Dodoma Live! #AfyaTamu #AshrafJK #KMT


Bunge la Tanzania limepitisha kwa kishindo Mapato na Matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha 2025/26 Shilingi Trilioni 1.6 kwa Fungu namba 52 ikiwepo matumizi ya kawaida Shilingi Bilioni 626.4 na miradi ya maendeleo Bilioni 991.7


https://medium.com/@ashrafjk/kwa-nini-kurugenzi-ya-pharmacy-ni-muhimu-kuliko-unavyodhani-soma-siri-hii-1e3bbc6c47c7 Hii kurugenzi inasaidia kukabiliana na changamoto nyingi....

*MFAMASIA: ASIKILIZWE* Mfamasia Ana Kitu, ASIKILIZWE!


π¨ Excited to moderate the upcoming webinar: *βBeyond the Counter: Emergency First Aid Skills for Every Pharmaceutical Personnelβ!* ποΈ Join us on May 30, 2025, from 18:00 to 19:30. β Register for FREE and earn CPD points! π [Register here](https://us06web.zoom.us/meeting/register/Z-xnLDb6RqqO0-DYFfdXDw) Proudly sponsored by Sun Pharma! π #Pharmacy #Webinar #FirstAid


"Usugu wa Vimelea" β Kesho, Jmosi, Tarehe 24 Mei. Ndani ya SkyTv
