Ashraf JK 💚💙
Ashraf JK 💚💙
February 18, 2025 at 04:18 PM
Kiungo Kisipotumika muda Mrefu kinasinyaa na kupungua saizi yake. Kitaalamu tunaita Atrophy. Hii Hali inajitokeza sana kwa Wagonjwa waliolazwa kitandani muda Mrefu (Zaidi ya Miezi Minne).
Image from Ashraf JK 💚💙: Kiungo Kisipotumika muda Mrefu kinasinyaa na kupungua saizi yake. Kita...

Comments