
Ashraf JK 💚💙
February 18, 2025 at 05:16 PM
Wanaotumia Vidonge vya Prednisolone kwa Muda Mrefu (Zaidi ya Siku 30) Wapo kwenye Hatari ya kuchelewa kupona Vidonda kwa sababu prednisolone ni Dawa zinazoshusha Kinga ya mwili Vibaya Mno!
