
Ashraf JK 💚💙
February 22, 2025 at 02:01 PM
Kuna Matumizi ya Dawa ambayo ni Unlicensed (Batili/Bila Ithibati)
Mfano Dawa ya Ciprofloxacin, Inaweza kutumika kibatili kama Dawa ya Kutibu Maambukizi yaliyosambaa ya Kidudu Cha Gonorrhea (Disseminated Gonococcal Infection), Na Mtu akapona.
Kumbuka hayo Matumizi ni Unlicensed.
